JAJI Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omat Othman Makungu akiongoza Maandamano ya Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar wakielekea katika Jukwaa lililoandaliwa kwa ajili ya kumuapisha Rais Mteule wa Zanzibar, Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi, hafla hiyo imefanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar juzi 2/11/2020.
WIZARA YA AFYA YASIKITISHWA NA WANAOTAPELI KWA JINA LA MCHENGERWA
-
WIZARA ya Afya imesikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu wenye nia ovu
ambao wamekuwa wakitumia jina la Waziri wa Afya, Mhe. Mohamed Omary
Mchengerwa ku...
7 hours ago
0 Comments