Habari za Punde

Kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar

Wenyeviti wa Mikoa ya Chama cha Mapinduzi CCM Zanzibar wakiwa  katika  Kikao cha Siku moja cha  Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanziba chini ya Mwenyekiti wake  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein. [Picha na Ikulu] 26/11/2020.
Baadhi yaWajumbe wa Siku moja cha  Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar Kikao cha Siku moja cha  Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar  .wakimsikiliza  Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha kikao. [Picha na Ikulu] 26/11/2020.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(kushoto) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk.Abdalla Juma Saadala.[Picha na Ikulu] 26/11/2020.
Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiendesha kikao cha siku moja cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.(kushoto kwa Mstaafu)Rais Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi.[Picha na Ikulu] 26/11/2020. 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.