Habari za Punde

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATENDAJI WAKUU WA OFISI YA WAZIRI MKUU KUWAPA MWELEKEO WA UTENDAJI KAZI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Makatibu Wakuu, Wakuu wa Idara na Taasisi  zilizo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu ili kuwapa mwelekeo wa utendaji kazi  katika utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 na maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri mkuu, Mlimwa jijini Dodoma, Novemba 16, 2020. Mheshimiwa Majaliwa alizungungumza na viongozi hao baada ya kuapishwa kwenye Ikulu ya Chamwino.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.