Habari za Punde

Makabidhiano ya Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Uchumi na Uwekezaji

WAZIRI Mstaaf iliokuwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu akizungumza na kutoa shukrani  wakati wa hafla ya kukabidhi  Nyaraka za Utendaji Kazi kwa  Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Uchumi na Uwekezaji Zanzibar .Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.(hayupo pichani) hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika  ukumbi wa Wizara hiyo Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar.

WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Uchumi,na Uwekezaji Zanzibar Mhe.Mudrik Ramadhan  Soraga akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano na aliyekuwa Wizara Mstaafu wa Waziri ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe Issa Haji Gavu (kulia kwake) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar leo 
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Uchumi na Uwekezaji Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga akijumuika na Watendaji wa Wizara yake wakiitikia dua baada ya kumalizika kwa hafla ya makabidhiano na Waziri Mstaaf wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Gavu (kulia kwake) hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar leo 
WATENDAJI wa Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Uchumi na Uwekezaji wakiitikia dua ikisomwa baada ya kumalizika hafla ya Makabidhiano ya Wizara yaliofanyika katika ukumbi wa Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Uchumi na Uwekezaji  Zanzibar, Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar  leo 
WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga akikabidhiwa Nyaraka za Kazi kutoka kwa Waziri Mstaaf iliokuwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Mhe Issa Haji Gavu (kulia kwake) hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa Wizara hiyo Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar leo 
 WAZIRI wa Nchi Afisi ya Rais Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga akikabidhiwa Kitabu cha Sera ya Diaspora na Waziri Mstaafu iliokuwa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Gavu (kulia kwake) hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Nchi Afisi ya Rais Uchumi na Uwekezaji  Mwanakwerekwe Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.