MUONEKANO wa Nyumba
za maafa Tumbe, zikiwa katika hatua za mwisho kukamilika kwa ujenzi wake, ili
wananchi waweze kutumia nyumba hizo
MAKAMU wa Pili wa
Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla (katikati), akikagua nyumba za maafa
zilizojengwa katika kijiji cha Tumbe, ambapo kwa sasa nyumba hizo ziko katika
hatua ya mwisho kumalizika ujenzi wake, huku akiwa amefuatana na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Pili Dk.Khalid Salum Mohamed na wakwanza kushoto ni Mkuu wa
Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othaman
MAKAMU wa Pili wa
Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla, akipata amaelezo ya nyumba za maafa
zilizoko kijiji cha Tumbe, kutoka kwa Mkurrugenzi wa kamisheni ya Kukabiliana
na Maafa Zanzibar Makame Khatib Makame, mara baada ya kutembelea nyumba hizo
BAADHI ya wazee wa kijiji cha Tumbe wakimsikiliza kwa makini Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla, wakati alipokua akizungumza nao baada ya kukagua nyumba za maafa zilizoko Tumbe.
(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment