Habari za Punde

Maofisa Mipango Wapata Mafunzo ya Uandaaji wa Mpango Kazi

Mwezeshaji wa Mafunzo ya Uandaaji wa Mpango wa Kati wa Matumizi ya Fedha (MTEF) kwa Taasisi na Mashirika ya Umma, Hezron Mwakabonga akiendesha mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa ajili ya maafisa Mipango na Maafisa Rasilimali Watu. Mafunzo hayo yaliyoanza jana kwenye Chuo cha Uhasibu Arusha yanatarajiwa kufanyika kwa wiki mbili.

Mwezeshaji wa Mafunzo ya Uandaaji wa Mpango wa Kati wa Matumizi ya Fedha (MTEF) kwa Taasisi na Mashirika ya Umma, Cledius Kamugisha akiendesha mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa ajili ya maafisa Mipango na Maafisa Rasilimali Watu. Mafunzo hayo yaliyoanza jana kwenye  Chuo cha Uhasibu Arusha yanatarajiwa kufanyika kwa wiki mbili.

  (PichanaOfisiyaMsajiliwaHazina).

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.