Habari za Punde

TAMWA Zanzibar yatia saini mkataba wa kazi ya kuwezesha wanawake kwenye uongozi


 Naibu Mkuu wa Ubalozi wa Norway Mr Bjoem Midthun na Mkurugenzi wa (TAMWA Zanzibar) Dr Mzuri Issa wakitia saini Mkataba wa kazi ya kuwezesha Wanawake kwenye Uongozi (SWIL) kwa kushirikiana na ZAFELA na PEGAO ambapo mashirikiano hayo yataanza mwaka 2021/2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.