Habari za Punde

Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Mhe.Dkt. Soud Nahoda Akabidhiwa Wizara na Aliyekuwa Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe. Mmanga Mjawiri.

Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Mhe.Dkt. Soud Nahoda Hassan (kushoto) akjikabidhiwa Hati ya makabidhiano ya Wizara na aliyekuwa Waziri wa Kilimo,Maliasili Mifugo na Uvuvi Mhe.Mmanga Mjengo Mjawiri, hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika katika jengo la Wizara Maruhubi Jijini Zanzibar na kutembelea Karakana ya ufundi ya Matreka mbweni. 
Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Zanzibaer Mhe,Dkt, Soud Nahoda Hassan akitembelea karakana huduma za  matreka akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Wakala wa Serekali wa huduma za matrekta na zana za kilimo Zanzibar Nd. Affan Othman Maalim, alipofanya ziara kutembelea Taasisi za Wizara yake baada ya kukabidhiwa Ofisi 
Waziri wa Kilimo Umwagiliaji Maliasili na Mifugo Mhe.Dkt. Soud Nahoda Hassan wakati alipofanya ziara kutembelea Karakana ya Matreka Mbweni Jijini Zanzibar akiwa na Mkurugenzi wa Wakala wa Serekali wa huduma za matrekta na zana za kilimo Nd. Affan Othman Maalim.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.