Habari za Punde

Aliyekuwa Waziri wa Muungano na Mazingira Mhe. Azzan Zungu Akabidhi Ofisi kwa Waziri Mpya Mhe.Ummy Mwalimu

Aliekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Azzan Zungu akikabidhi Ofisi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika hii leo katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma. Kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Balozi Joseph Sokoine.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Ummy Mwalimu akiteta jambo Aliekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Azzan Zungu mapema hii leo katika mji wa Serikali Mtumba Dodoma,

Aliekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Azzan Zungu akikabidhi Ofisi kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika hii leo katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.