Habari za Punde

Jengo jipya la Ofisi ya ZSSF Pemba kufunguliwa karibuniJengo jipya la Ofisi ya ZSSF Pemba ambalo liliwekewa jiwe la msingi tarehe 5/8/2020 na Rais Mstaafu Dr. Ali Mohamed Shein kwa tayari sasa limekamilika. Hivi sasa lipo katika hatua za mwisho za kukamilisha mradi na linatarajiwa kufunguliwa na kuhamiwa hivi karibuni. Jengo hili  limejengwa na kampuni ya kizalendo kabisa
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.