Habari za Punde

Mafunzo ya Tehama kwa Walimu wa Msingi wa darasa la tano na la sita


 Mkuu wa Divisheni ya Miundombinu ya Tehama na Huduma wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bwana Abdillahi Mahzumi Mahmoud, akitoa Mafunzo ya Tehama kwa Walimu wa Msingi wa darasa la tano na la sita katika kituo cha Walimu TC Kiembe Samaki Mjini Unguja.

Na Maulid Yussuf WEMA

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.