Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ametembelea Idara ya Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar ZAECA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi ripotri ya Mradi wa ZUSP Mkurugenzi wa Idara ya Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar ZAECA Nd,Mussa Haji Alikwa, ajili ya kuifanyika kazi  wakati mkutano wake na Wafanyakazi wa Idara hiyo leo uliofanyika Ofisi za Idara  Victoria Garden Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu].23 Disemba 2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Katiba,Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman (wa pili kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Idara ya Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar ZAECA Nd,Mussa Haji Ali (wa pili kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais,Uchumi na Uwekezaji Mhe.Mudrik Ramadhan Soraga (kulia) mara baada ya kumalizika kwa mkutano maalum na  Wafanyakazi wa Idara hiyo leo uliofanyika Ofisi za Idara  Victoria Garden Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu].23 Disemba 2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akionesha ripoti ya Mradi wa  ZUSP kwa Viongozi na Wafanyakazi wa Idara ya Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar (ZAECA)    wakati mkutano maalum alipotembelea  Ofisi za Idara leo  Victoria Garden Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu].23 Disemba 2020.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akijibu masuala ya wafanyakazi wa   Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar ZAECA wakati mkutano wake na Wafanyakazi wa Mamlaka  hiyo leo uliofanyika Ofisi za Idara  Victoria Garden Jijini Zanzibar (kushoto)  Mkurugenzi wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar ZAECA  Nd,Mussa Haji Ali.[Picha na Ikulu].23 Disemba 2020.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.