Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Mgeni Rasmin Michuano ya Kombe la Yamleyamle.Uwanja wa Amaan leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiende kuwasalimia Wachezaji wa Timu ya Mboriborini na Mbirimbirini zilizoingia Fainali ya Kombe la Yamleyamle iliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya Mboriborini imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wachezaji wa Timu ya Mbirimbirini kabla ya kuaza mchezo wao wa Fainali ya Kombe la Yamleyamle Cup na Timu ya Mboriboniri mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu ya Mboriborini imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia na Waamuzi watakaochezesha mchezo wa Fainali wa Kombe la Yamleyamle Cup kati ya Timu ya Mboriboniri na Mbirimbirini mchezo uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu ya Mboriborini imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasalimia Wachezaji wa Timu ya Mboriborini kabla ya kuaza kwa mchezo wao wa Fainali ya Kombe la Yamleyamle Cup na Timu ya Mbirimbirini uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu ya Mboriborini imeshinda mchezo huo kwa bao 2-1. 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.