MKUU wa Kitengo cha
ufuatiliaji na Tathmini Kitaifa kutoka Tume ya Mipango Zanzibar Jamila Abass
Seif, akifungua mafunzo ya siku moja kwa waandishi wa habari kutoka vyombo
mbali mbali vya habari Pemba, juu ya uwasilishaji wa ufuatiliaji wa mpango wa
maendeleo Julai hadi Septemba 2020
BAADHI ya waandishi
wa habari kutoka Vyombo mbali mbali vya habari kisiwani Pemba, wakifuatilia kwa
makini uwasilishaji wa Mpango wa maendeleo Julai hadi Septemba 2020,
uliowasilishwa na watendaji kutoka Tume ya Mipango Zanzibar
MKUU wa kitengo cha
ufuatiliana na Tathmini kutoka Tume ya Mipango Zanzibar Hamid Abdalla Haji,
akiwasilisha mpango wa maendeleo Julai hadi Septemba 2020, kwa waandishi wa habari kutoka Vyombo mbali mbali vya habari
Kisiwani Pemba, mkutano uliofanyika mjini chake chake
MKUU wa Kitengo cha
ufuatiliaji na Tathmini Kitaifa kutoka Tume ya Mipango Zanzibar Jamila Abass
Seif, akiwa na Kaimu Mkurugenzi Mawasiliano Ikulu Mwatima Issa(katikati)
wakifuatilia uwasilishaji wa Mapango wa maendeleo Julai hadi Septemba 2020, kwa
waandishi wa habari kutoka vyombo mbali mbali vya habari Pemba
MWANDISHI wa habari kutoka Swahiba FM Fatama Hamad Faki, akichangia mada wakati wa uwasilishwaji wa mpango wa maendeleo Julai hadi Septemba 2020.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba )
No comments:
Post a Comment