Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi Ajumuika na Wanamichezo wa Mazoezi ya Viungo Zanzibar Yaliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika mazoezi ya Viungo baada ya kuwasili katika Uwanja wa Amaan baada ya kumaliza matembezi ya mazoezi ya Viungo yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge na kumalizia Amaan kwa mazoezi ya pamoja na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maali Seif Sharif Hamad  na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid wakishiriki katika mazoezi hayo yakiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Vijana Habari Utamaduni na Michezo Zanzibar Ndg. Omar Hassan King akiwa mbele akitowa mazoezi 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika mazoezi ya Viungo baada ya kuwasili katika Uwanja wa Amaan baada ya kumaliza matembezi ya mazoezi ya Viungo yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge na kumalizia Amaan kwa mazoezi ya pamoja na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maali Seif Sharif Hamad. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdaulla na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Maryam Mwinyi na (kulia kwa Rais) Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Zuberi Ali Maulid wakishiriki katika mazoezi hayo yakiongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Vijana Habari Utamaduni na Michezo Zanzibar Ndg. Omar Hassan King akiwa mbele akitowa mazoezi 
Washiriki wa Mazoezi ya Kitaifa ya Viungo Zanzibar kutoka sehemu mbalimbali Pemba,Tanzania Bara na Unguja wakishiriki katika mazoezi ya pamoja ya Viungo yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza Matembezi yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge na kumalizika katika Uwanja wa Amaan kwa mazoezi ya pamoja.
Mtoto  Samir Mohammed  (7)  akishiriki katika Mazoezi ya Kitaifa ya Viungo Zanzibar kutoka sehemu mbalimbali Pemba,Tanzania Bara na Unguja wakishiriki katika mazoezi ya pamoja ya Viungo yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza Matembezi yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge na kumalizika katika Uwanja wa Amaan kwa mazoezi ya pamoja.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhi Cheti cha Heshima Mshiriki namba moja wa Mazoezi Zanzibar, akikabidhiwa na Mwenyekiti wa Chama Cha Mazoezi ya Viungo Zanzibar (ZABESA) Ndg.Said Suleiman, wakati wa hafla ya mazoezi ya viungo ya pamoja yaliofanyika katikia Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar leo 1-1-2021

WASHIRIKI wa Tamasha la Mazoezi ya Viungo Kitaifa Zanzibar wenye uzito wa kilo mia moja (100)  wakishiriki katika mbio za mita mia katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar wakati wa Tamasha hilo la mazoezi ya viungo lililofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, mshindi wa mbio hizo kutoka Kikundi cha Dodoma Bi. Mary Mbambwa
Washiriki wa Mazoezi ya Kitaifa ya Viungo Zanzibar kutoka sehemu mbalimbali Pemba,Tanzania Bara na Unguja wakishiriki katika mazoezi ya pamoja ya Viungo yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza Matembezi yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge na kumalizika katika Uwanja wa Amaan kwa mazoezi ya pamoja.
Washiriki wa Mazoezi ya Kitaifa ya Viungo Zanzibar kutoka sehemu mbalimbali Pemba,Tanzania Bara na Unguja wakishiriki katika mazoezi ya pamoja ya Viungo yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza Matembezi yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge na kumalizika katika Uwanja wa Amaan kwa mazoezi ya pamoja.
Washiriki wa Mazoezi ya Kitaifa ya Viungo Zanzibar kutoka sehemu mbalimbali Pemba,Tanzania Bara na Unguja wakishiriki katika mazoezi ya pamoja ya Viungo yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza Matembezi yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge na kumalizika katika Uwanja wa Amaan kwa mazoezi ya pamoja.
MSHIRIKI wa Mazoezi ya Viungo Zanzibar Bi. Halima Muhamad Othman (60) kutoka Kikundi cha Mazoezi cha Solution Fitness Club cha Magogoni Zanzibar akishiriki katika mazoezi hayo yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar
Washiriki wa Mazoezi ya Kitaifa ya Viungo Zanzibar kutoka sehemu mbalimbali Pemba,Tanzania Bara na Unguja wakishiriki katika mazoezi ya pamoja ya Viungo yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza Matembezi yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge na kumalizika katika Uwanja wa Amaan kwa mazoezi ya pamoja.
Washiriki wa Mazoezi ya Kitaifa ya Viungo Zanzibar kutoka sehemu mbalimbali Pemba,Tanzania Bara na Unguja wakishiriki katika mazoezi ya pamoja ya Viungo yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza Matembezi yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge na kumalizika katika Uwanja wa Amaan kwa mazoezi ya pamoja.
Washiriki wa Mazoezi ya Kitaifa ya Viungo Zanzibar kutoka sehemu mbalimbali Pemba,Tanzania Bara na Unguja wakishiriki katika mazoezi ya pamoja ya Viungo yaliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza Matembezi yalioazia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michezani Kisonge na kumalizika katika Uwanja wa Amaan kwa mazoezi ya pamoja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.