Habari za Punde

Mchezaji Bora Mchezo wa Malindi na Azam Michuano ya Kombe la Mapinduzi

Mkurugenzi wa Masoko wa Shirika la Bima la Taifa Tanzania Ndg.Yessaya Mwakifulefule akimkabidhi zawadi Mchezaji Bora wa Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup Mchezaji wa Timu ya Azam Daniel Amoa baada ya kuibuka mchezaji bora wa mchezo huo uliofanyika jana usiku na kushoto Meneja wa Shirikala la Bima la Taifa Tawi la Zanzibar Ndg.Yussuf Haji na (kulia Maofisa wa Bima NIC Bi.Lillian Manumbu na Zakia Mbonja .

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.