Habari za Punde

Mchezo wa Kirafiki Kusherehekea Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar Kati ya Benki ya NMB na Timu ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Uliofanyika Uwanja wa Amaan BLM Imeshinda Bao 1-0.o

Mchezaji wa Timu ya Benki ya NMB  akizuiya mpira huku  mchezaji wa Timu ya Baraza la Wawakilishi wa Jimbo la Mwera Mhe. Mihayo Nhunga akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Kirafiki wa kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar uliofanyika Uwanja wa Amaan Timu ya Baraza  imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.
Mchezaji wa Timu ya NMB akimpita beki wa Timu ya Baraza la Wawakilishi wakati wa mchezo wao wa Kirafiki uliofanyika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar Timu ya BLW imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.

Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Shaban Ali Yussuf akijaribu kumpita beki wa Timu ya NMB Zakaria Stephen wakati wa mchezo wao wa kirafiki wa kuadhimisha Miaka 57 ya Mapinduzi ya Zanzibar uliofanyika katika Uwanja wa Amaan Jijini Zanzibar.Timu ya BLW imeshinda bao 1-0. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.