NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni
na Michezo Zanzibar Khamis Abdalla Saidi, akizungumza katika kikao cha kwanza
na wafanayakazi wa Wizara hiyo Pemba, kilichokuwa na lengo la kujitambulisha
kwao kikao kilichofanyika mjini chake chake.
BAADHI ya wakuu wa maidara zilizomo ndani ya Wizara ya
Habari Vijana Utamaduni na Michezo Pemba, wakiwasiliza kwa makini katibu Mkuu
wa Wizara hiyo wakati alipokua akizungumza nao, kikao kilichofanyika mjini
Chake Chake.
KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na
Michezo Zanzibar Fatma Hamad Rajab, akizungumza kwa mara ya kwanza na
wafanayakazi wa wizara hiyo Pemba, hafla iliyofanyika mjini Chake Chake.
MENEJA wa Uwanja wa Michezo Gombani Issa Juma akielezea changamoto zinazomkabili ndani ya uwanja huo, wakati wa kikao na katibu mkuu wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar kikao kilichofanyika mjini chake chake.
(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA).
No comments:
Post a Comment