Habari za Punde

Majaliwa azindua barabara ya Matemwe hadi Muyuni yenye urefu wa kilomita 7.58

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua barabara ya Matemwe hadi Muyuni yenye urefu wa kilomita 7.58 katika Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, barabara hiyo imejengwa na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Cooperation (CCECC) kwa ufadhili kutoka benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa gharama ya shilingi bilioni 5.48.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua barabara ya Matemwe hadi Muyuni yenye urefu wa kilomita 7.58 kabla ya kuizindua katika Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, barabara hiyo imejengwa na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Cooperation (CCECC) kwa ufadhili kutoka benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa gharama ya shilingi bilioni 5.48,  
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wakazi wa  Wilaya ya Kaskazini A, Mkoa wa Kaskazini Unguja, baada ya kuzindua barabara ya Matemwe hadi Muyuni yenye urefu wa kilomita 7.58, barabara hiyo imejengwa na Kampuni ya China Civil Engineering Construction Cooperation (CCECC) kwa ufadhili kutoka benki ya maendeleo ya Afrika (AfDB) kwa gharama ya shilingi bilioni 5.48, Januari 7, 2021 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.