Habari za Punde

SERIKALI KUWEKA MAZINGIRA WEZESHI YA KUENDELEZA VIJANA WABUNIFU WA TEHAMA

 

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile (wa kwanza kulia) akimsikiliza Saida Ally, mkufunzi wa TEHAMA kwa wasichana alipotembelea Ndaki ya TEHAMA ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dar es Salaam.


Waziri waMawasilianonaTeknolojiaya Habari, Dkt. FaustineNdugulileakipatataarifakuhusukampuniya TEHAMA yaMagila Tech iliyoanzishwana Godfrey Magila (anayezungumza) wakatiwaziarayakekwenyeTumeyaTaifayaSayansinaTeknolojia, Dar es Salaam

 Waziri waMawasilianonaTeknolojiaya Habari, Dkt. FaustineNdugulileamesemakuwaSerikaliitawekamazingirawezeshiyakuendelezavijanawabunifuwa TEHAMA nchini

 

Ndkt. NdugulileameyasemahayoleowakatiwaziarayakeyakutembeleaTumeyaTaifayaSayansinaTeknolojia (COSTECH) naNdakiya TEHAMA ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (COICT) zilizopo Dar es Salaam

 

Amesemakuwavijanawanabunimifumombalimbaliya TEHAMA yakutatuachangamoto za wananchiilawanakosamazingirawezeshiyakuendelezanakukuzabunifuzaokama vile kupatiwa mudamaalumuwakuingizasokonibunifuzaokwakufanyamajaribioyabunifuhizokukubalikakwawananchibilakulazimikakulipiagharama za usajili, kupatamasoko, malipoyakodinalesenikuendananamatakwayauendeshajiwakampuninabiasharanchini

 

AmesisitizakuwaazmayaSerikalinikuendelezawabunifuwa TEHAMA iliwawezekutengenezamifumokuendananamahitajiyawananchibadalayakuendeleakununuamifumohiyokwagharamakubwakutokanjeyanchiambapoSerikaliinatumiafedhanyingikununuamifumoya TEHAMA

 

Amefafanuakuwautengenezajiwamifumoya TEHAMA hapanchiniutaongezawigowamatumiziyaintanetinahuduma za mawasilianonaitajibuchangamoto za wananchinaametoa rai kwawatanzaniakujengaimaniyakutumiateknolojiarahisizinazobuniwanavijanawandaniyanchibilakujaliumri, uzoefu au majinayakampunizao

 

NayeMkurugenziMkuuwa COSTECH, Dkt. Amos Nunguamesemakuwavijanahaomwameanzishakampunizaidiya 20 za mifumoya TEHAMA natayarimifumohiyoinasaidiakukusanyakodikwenyehalmashauri; kuwawezeshavijanakusoma VETA kwanjiayamtandaona TIGO kuwezakuhifadhitaarifa za wateja wake

 

NaibuMakamuMkuuwa Chuo Kikuu, utafitinaubunifu, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. BenadethaKiliani naMkuuwaNdakiya TEHAMA ya Chuo hicho,Dkt. MussaKisakawamesemakuwa Chuo kikotayarikushirikiananaWizarailikuendelezavijanawabunifunawatafitiwa TEHAMA nchini

 

Akizungumzakwaniabayavijanawabunifuwa TEHAMA, GeofreyMagilaameiombaSerikalikuwawezeshawakubalikenakuaminikanawapewekazibadalayakampunizaokufanyakazikwakutumiamgongonamajinayakampuninyinginekwakuwakampunizaoni changa nahazinamtajiwakutoshakuingiakwenyeushindaniwazabunizinazotangazwazinazohusumifumoya TEHAMA

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.