Habari za Punde

WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA MHE WANGI YI AONGEA NA WAVUVI CHATO, AFANYA MAZUNGUMZO RASMI NA TANZANIA

Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi akiongea na  wavuvi na wadau wengine wa sekta ya uvuvi alipotembelea na mkujionea shughuli mbalimbali zinazofanyika katika Mwalo wa  samaki la Chato Mkoani Geita alikotembelea leo Ijumaa Januari 8, 2021 ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake nchini
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba Kabudi akimkaribisha rasmi nchini Waziri wa Mambo ya Nje wa China Mhe. Wang Yi na ujumbe wake kabla ya kufanyika mazungumzo rasmi wa pande hizo mbili mjini Chato mkoa wa Geita  leo Ijumaa Januari 8, 2021 ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake nchini 
PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.