Habari za Punde

BAMMATA yakutana Zanzibar kuandaa mashindano ya majeshi 2021

 Mwenyekiti wa Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Brigadia Jenerali Suleiman Gwaya (wakwanza kulia) akimkaribisha mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana katika kikao cha kamati tendaji ya michezo ya Majeshi.
Katibu Mkuu Baraza la Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) Kanali. Martin Msumari akitoa tarifa ya michezo kwa Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana.


Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana akifungua Mkutano wa siku mbili wa Kamati Tendaji ya Michezo ya Majeshi Tanzania (BAMMATA) katika Ukumbi wa ZSSF Kariakoo Mjini Zanzibar.
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Kamati tendaji ya Michezo ya Majeshi Tanzania wakifuatiklia hutuba ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana (hayupo pichani).
Baadhi ya wajumbe wa Mkutano wa Kamati tendaji ya Michezo ya Majeshi Tanzania wakifuatiklia hutuba ya mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana (hayupo pichani).

Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Idrisa Kitwana (katikati) katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati tendaji ya Michezo ya Majeshi Tanzania.

Picha na Makame Mshenga KMKM.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.