Habari za Punde

Mafunzo kwa waandishi wa habari kuhusiana na Maradhi ya mripuko yatolewa Zanzibar

Ofisa kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO)Dkt,Simon Vendelin akizungumza katika Mkutano wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Kinga juu ya Maradhi ya Miripuko hafla iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Zanzibar.
Mkuu wa Kitengo cha Elimu ya Afya Halima Ali Khamis akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mkutano wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Kinga juu ya Maradhi ya Miripuko hafla iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Zanzibar.
-Mkufunzi kutoka Kitengo cha Elimu ya Afya Hospitali ya Mnazi mmoja Ali Makame Zubeir akiwasilisha mada kuhusiana na Maradhi ya Kuambukiza Mkutano wa Mafunzo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Kinga juu ya Maradhi ya Miripuko hafla iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika  Mkutano wa Mafunzo kwa kuhusiana na Kinga juu ya Maradhi ya Miripuko hafla iliofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idriss Abdul-wakil Kikwajuni Zanzibar
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.