Habari za Punde

Mawaziri Wakichangia Hutuba ya Ufunguzi wa Baraza la Wawakilishi

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akichangia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa mkutano wa Baraza la Wawakilishi unaoendelea katika ukumbi wa mkutano Chukwani Jijini Zanzibar.
Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Mwita Maulid akichangia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi alioitowa wakati wa ufunguzi wa Baraza la Wawakilishi katika ukumbi wa mkutano Chukwani Jijini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohammed akichangia hutuba ya ufunguzi wa Baraza la Wawakilishi iliotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa ufunguzi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Jijini Zanzibar.
Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibare Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga akichangia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, wakati wa mkutano wa Baraza uliofanyika leo katika ukumbi wa Baraza Chukwani Jijini Zanzibar. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.