Habari za Punde

Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar waapishwa Bungeni Dodoma

Mwakilishi wa Baraza la wawakilishi, Ameir Abdallah Ameir akiapishwa bungeni jijini Dodoma kuwa mbunge
Mwakilishi wa Baraza la wawakilishi, Bakari Hamad Bakari akiapishwa bungeni jijini Dodoma jana
Mwakilishi wa Baraza la wawakiliishi, Bahati Khamis Kombo akiapishwa bungeni jijini Dodoma jana

Mwakilishi wa Baraza la wawakilishi Zanzibar, Mwantatu Mbaraka Khamis akiapishwa bungeni jijini Dodoma jana
Spika wa Bunge Mwakilishi wa Baraza la wawakilishi Zanzibar Mhe. Suleiman Haroub Suleiman akiapishwa kuwa Mbunge wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma leo  Picha zote na Anthony Siame

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.