Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Amefanyi Ziara Mkoani Lindi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wanafunzi wa Shule ya Msingi Chikoko, iliyopo katika Wilaya ya Ruangwa, Mkoani Lindi, wakati alipotembelea shule hiyo,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua maendeleo ya ujenzi wa Shule Maalum ya Sekondari ya Wasichana Ruangwa, Mkoani Lindi.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua nyumba za walimu zilizojengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Awamu ya Tano kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (T.E.A), wakati alipotembelea, Shule ya Sekondari Liuguru,  wilayani Lindi. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akikagua nyumba za walimu zilizojengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Awamu ya Tano kupitia Mamlaka ya Elimu Tanzania (T.E.A), wakati alipotembelea, Shule ya Sekondari Liuguru,  wilayani Lindi. Februari 26, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.