Habari za Punde

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Ameongoza Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa DSM Katika Mwili wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam leo.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza Jambo na Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Hemedi Suleiman katika Ghafla ya kuaga Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam.

Wanafamilia ya Hayati Dkt.John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam  katika hafla ya kuuaga mwili wa marehemu kwa Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Dar es Salaam leo.   


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Viongozi na Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam kuaga Mwili wa aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Hayati Dkt. John Pombe Magufuli katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam leo March 20,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

 


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.