Habari za Punde

Waandishi waanza kutekeleza mafunzo ya TAMWA kwa vitendo


 WAANDISHI wa habari wa shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Ofisi ya Pemba, Habiba Zarali na Zuhura Juma wakifahamisha kwa vitendo juu ya uwekaji wa habari zinazohusiana na wanawake na uongozi katika mitandao ya kijamii, baada ya kupatiwa mafunzi ya matumizi ya mitandao na TAMWA Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.