Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa Mwanza wakati wa tukio la kuaga mwili wa hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kwenye uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulah, akitoa heshima za mwisho kwa mwili ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kwenye uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, akitoa heshima za mwisho kwa mwili ya Rais Dkt. John Pombe Magufuli, kwenye uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza Machi 24, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment