Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula Aongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Jijini Dodoma leo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, wakiwa katika wamesimama wakati wa kuwasili katika ukumbi wa Kikao jengo la Jkaya Kikwete Jijini Dodoma leo 28/4/2021.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Mhe. Philip Mangula na (kulia kwake) Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiongoza  Kikao cha Kamati Kuu ya CCM kilichofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.j

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akisoma kabrasha la ajenda ya Kikao akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dkt. Philip Isdor Mpango, wakiwa katika ukumbi wa mkutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.