Habari za Punde

RAIS MHE. SAMIA SULUHU HASSAN AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA DKT. AMINA MOHAMMED MJUMBE MAALUMU WA RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassanakisalimiana na Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta leo tarehe 10 Aprili, 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipokea Barua yenye Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta iliyowasilishwa kwake na Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais Kenyatta leo tarehe 10 Aprili 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassanakisalimiana na Balozi wa Kenya hapa nchini Mheshimiwa Dan Kazungu ambaye aliambatana na Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta leo tarehe 10 Aprili 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta leo tarehe 10 Aprili 2021 Ikulu jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanahabari mara baada ya kupokea Ujumbe Maalumu kutoka kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta Ikulu jijini Dar es Salaam. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Amina Mohammed Mjumbe Maalumu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Muigai Kenyatta wakwanza kushoto, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Athman Kattanga wakwanza (kulia) pamoja Balozi wa Kenya hapa nchini Balozi Dan Kazungu mwenye tai nyekundu, mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.