Habari za Punde

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe.Simai Mohammed Said Ziarani Kisiwani Pemba.

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akiwa katika boti akielekea katika Kisiwapanza akiwa katika ziara yake kutembelea Skuli ya Sekondari ya Kisiwapanza kupata maelezo ya matatizo ya Wanafunzi wa Skuli hiyo na maendeleo yake .

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said akiwa katika ziara yake Kisiwapanza Kisiwani Pemba, akiwa na Maofisa Elimu wa Wizara yake.  

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar mhe Simai.Mohammed Said akiwa na.Afisa Mdhamini Wa.Wizara hiyo Pemba, Mwalim Mohammed Nassor Salim wa.kwanza kushoto, wakipata maelezo kwa.daktari.dhamana wa.kituo cha Afya.Kisiwapanza. juu ya maradhi yanayoripotiwa kutoka kwa.wanafunzi wa skuli ya kisiwapanza.

waziri wa.Elimu na.mafunzo ya  Amali.Zanzibar mhe Simai Mohammed.Said.akikagua.madaftari ya Wanafunzi.wa.Skuli ya.Sekondari Kisiwa.Panza.wakati alipofanya ziara kuangalia matatizo.na.maendeleo katika Skuli hiyo.

Na Maulid Yussuf WEMANo comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.