Habari za Punde

NAIBU WAZIRI AAPA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA TUME YA UTUMISHI WA JESHI LA POLISI, MAGEREZA NA UHAMIAJI

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akiweka Saini katika hati ya kiapo baada ya kuapa kuwa Makamu  Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji.Tukio hilo limefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Khamis Hamza Chilo akikabidhiwa hati ya kiapo na Jaji wa Mahakama Kuu, Leila Mgunya(kushoto) baada ya kuapa kuwa Makamu  Mwenyekiti wa Tume ya Utumishi wa Jeshi la Polisi, Magereza na Uhamiaji.Tukio hilo limefanyika leo jijini Dar es Salaam.

Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.