Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk Hussein Ali Mwinyi Amekutana na Kuzungumza na Waathirika wa Kampuni ya Masterlife Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (kulia) akizungumza na  Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika   kwa mazungumzo na Mhe.Rais  Ikulu Jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na  Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika  leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo nao. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali  Mwinyi (katikati) akisisitiza jambo wakati alipokuwa akizungumza na  Wawakilishi wa Waathirika wa Kampuni ya Masterlife waliofika  leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo nao .[Picha na Ikulu] 25/05/2021. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.