Habari za Punde

Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan afanya ziara ya Kushtukiza katika Soko Kuu la Kariakoo Jijini Dar es Salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akipita katika eneo la Soko Kuu la Kariakoo kujionea shughuli mbalimbali wanazofanya wafanyabiashara ndogondogo wa Soko la Kariakoo mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza tarehe 1 June, 2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyabiashara mbalimbali katika Soko Kuu la Kariakoo Jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Sokoni hapo leo tarehe 1 June, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na wafanyabiashara mbalimbali katika Soko Kuu la Kariakoo Jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza Sokoni hapo leo tarehe 1 June, 2021

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.