Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akifungua maji katika moja ya vituo vya maji vinavyonufaika na mradi wa maji Munanila uliopo katika Kijiji cha Munanila Wilaya ya Buhigwe Mkoa wa Kigoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip
Isdor Mpango akikagua Ujenzi wa Soko la lakisasa la Muyama Wilayani Buhigwe.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Nyarubanda aliposimama kuwasilimu akiwa njiani kuelekea wilayani Buhigwe. Makamu wa Rais yupo ziarani mkoani Kigoma
No comments:
Post a Comment