Habari za Punde

MHE. RAIS SAMIA APOKEA TAARIFA YA UKAGUZI MAALUM YA MATUMIZI YA FEDHA ZILIZOTOLEWA NA BENKI KUU BOT PAMOJA NA TAARIFA YA SENSA YA WATU NA MAKAZI INAYOTARAJIWA KUFANYIKA MWEZI AGOST 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum inayohusu matumizi ya Fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BOT)  kati ya mwezi Januari na March mwaka huu, kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Bw. Charles Kichere Jijini Dodoma leo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Taarifa ya maandalizi ya Sensa ya Watu na Makazi, inayotarajiwa kufanyika mwezi Agost,2022, kutoka kwa Mtakwimu Mkuu wa Serikali Dkt. Albina Chuwa, leo Julai 01,2021 Jijini Dodoma.
(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.