Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan Awasili Ikulu Jijini Bujumbura Nchini Burundi na Kuzungumza na Rais Ndayishimiye.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye, alipowasili Ikulu Ntare House Jijini Bujumbura Burundi  kwa ajili ya kuanza ziara ya Kitaifa Nchini humo leo Julai 16,2021.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye wakipokea Gwaride la Jeshi la Jamhuri ya Burundi  alipowasili Ikulu Ntare House Jijini Bujumbura Burundi  kwa ajili ya kuanza ziara ya Kitaifa Nchini humo leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikagua Gwaride la Jeshi la Jamhuri ya Burundi  alipowasili Ikulu Ntare House Jijini Bujumbura Burundi  kwa ajili ya kuanza ziara ya Kitaifa Nchini humo leo


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipanda Mti wa Muembe mbele ya Jengo la Ikulu ya Ntare House Jijini Bujumbura Burundi  kwa ajili ya kuanza ziara ya Kitaifa Nchini humo leo Julai 16,2021. Kushoto ni Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Burundi Mhe. Evariste Ndayishimiye Ikulu Ntare House Jijini Bujumbura leo Julai 16,2021. (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.