RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa
Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja.Dr.Msafiri Marijani, alipowasili katika viwanja
vya Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja kuwatembelea na kuwajulia hali Wagonjwa
waliolazwa katika Hospitali hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimjulia hali mmoja wa Wagonjwa waliolazwa
katika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ndg. Said Mussa, aliyelazwa katika Wodi ya
Wagonjwa waliopata ajali
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimjulia hali Mtoto Samir Haji akiwa
amepakatwa na Mama yake Bi. Zulfa Vuai Mwinyi, alipotembelea Wodi ya Watoto
katika jengo la Taasisi ya ‘ Neurosurgical Institute’ katika Hopitali ya Mnazi
Mmoja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimjulia hali Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii Jinsia Wazee na Watoto Zanzibar. Mhe. Nassor Ahmed Mazrui aliyelazwa
katika la Wodi ya Taasisi ya
‘Neurosurgical Institute’ katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimjulia hali Waziri wa Afya na Ustawi wa
Jamii Jinsia Wazee na Watoto Zanzibar. Mhe. Nassor Ahmed Mazrui aliyelazwa
katika la Wodi ya Taasisi ya
‘Neurosurgical Institute’ katika Hospitali Kuu ya Mnazi Mmoja Jijini Zanzibar.
No comments:
Post a Comment