MBUNGE wa jimbo la Chake Chake Ramadhan Suleiman
Ramadhan, akiwekewa plasta na daktari Firdaus Juma kutoka kitengo cha damu
salama Pemba, mara baada ua kumaliza kuchangia damu wakati wa bonanza la
uchangiaji wa Damu lililofanyika Madungu, ambapo chupa 26 za damu zilikusanywa.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
MBUNGE wa Viti maalumu wanawake Mkoa wa Kusini Pemba
Mariyam Azani Mwinyi, akichoma shindano ya kuchangia damu salama wakati wa
bonanza la uchangiaji damu na daktari Firdaus Juma kutoka kitengo cha damu
salama Pemba, wakati wa bonanza maalumu aliloliandaa kwa wanamichezo Pemba.(PICHA NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment