Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Aanza Ziara Ruangwa

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya  (wa pili kulia) wakati alipokagua ujenzi wa maabara katika Shule ya Sekondari ya Makanjiro wilayani humo
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua madawati wakati alipotembelea Shule ya Msingi Chikoko wilayani Ruangwa Julai 23, 2021. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na wananchi wa kijiji cha Chinokole wilayani Ruangwa, Julai 23, 2021.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.