Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapa pole familia ya marehemu Biswad Msuya, Kaka Mkubwa wa Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya (kushoto) nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Usalama wa Taifa, Diwani Athumani Msuya wakati alipohani msiba wa Biswad Msuya, Kaka Mkubwa wa Mkurugenzi huyo, nyumbani kwa marehemu, Mbezi Beach jijini Dar es salaam, Agosti 4, 2021.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment