TAARIFA YA MABADILIKO YA KUZIMWA UMEME UNGUJA.
Shirika la Umeme Zanzibar linawatangazia wananchi wa Unguja kuwa ile kazi ya matengenezo iliyokusudiwa kufanyika Jumanne tarehe 31/08/2021katika njia (laini) ya umeme Kunduchi haitafanyika na badala yake itafanyika Jumatano tarehe 01/09/2021. Muda ni kuanzia saa 2:00 asubuhi hadi 5:00 asubuhi. Matengenezo hayo yataifanya Unguja kukosa umeme.
Shirika linaomba radhi kwa mabadiliko hayo.
................................. ......... ...............
Toa taarifa ya umeme kwa kuwasiliana nasi kituo cha huduma simu 0772877879.
............tunapatikana..........
#tovuti: https://www.zeco.co.tz
#facebook: Zanzibar Electricity Corporation
#twitter: Zanzibar Electricity Corporation
#instagram:zeco_zanzibar
#youtube: ZECO_Zanzibar
#whatsapp: 0772877879
No comments:
Post a Comment