Habari za Punde

Mhe Majaliwa Akagua Mradi wa Maji wa Kemondo Wilayani Bukoba.

Muonekano wa tangi la Maji katika  Mradi wa Maji Kemondo wilayani Bukoba , Mheshimiwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alikagua  maendeleo ya ujenzi wa mradi huo,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua tangi la maji katika Mradi wa Maji wa Kemondo wilayani Kigoma, Septemba 20, 2021.  Wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Charles Mbuge

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada kukagua Mradi wa Maji Kemondo wilayani Bukoba, Septemba 21, 2021. Wa pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa, kushoto ni Mbunge wa Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza na wa pili kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Meja Jenerali Joseph Mbuge. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.