Habari za Punde

Mhe.Jumaa Aweso Azindua Bodi ya Wakurugenzi, Awapa Kazi ya Kukamilisha Miradi ya Maji ya Pembezoni ya Dar es Salaam.

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso(kulia) pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji, Mhe. Dkt. Christine Ishengoma wakizindua Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam jijini Dar Es Salaam.

 Waziri wa Maji, Jumaa Aweso(kulia) akimkabidhi vitendea kazi Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira , Jenerali Mstaafu Davis Mwamunyange mara baada ya kuzindua Bodi ya Wakurugenzi wa DAWASA uliofanyika leo jijini Dar es Salaam

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso(kulia) akikabidhi vitendea kazi Katibu na Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam Mhandisi Cyprian Luhemeja mara baada ya kuzindua Bodi ya Wakurugenzi wa DAWASA uliofanyika leo jijini Dar es Salaam


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.