BIBI Amina Mohd Said (kushoto) akipokea hati ya haki ya matumizi ya
ardhi, kutoka kwa Mkurugenzi wa Jumuiya ya KUKHAWA (kulia) Hafid Abdi Said,
katikati ni Naibu Mrajis wa Ardhi Pemba Asha Suleiman Said, hafla iliyofanyika
katika ofiosi za KUKHAWA Chake Chake Pemba
NAIBU Mrajis wa Ardhi Asha Suleiman Said, akiwaonyesha wananchi hati ya haki ya matumizi ya ardhi kwa wananchi, wakati wa kukabidhi hati hiyo kwa Amina Mohamed Said mkaazi wa shehia ya Wara Machomanne, hafla iliyofanyika katika ofisi za KUKHAWA Chake Chake Pemba.
(PICHA
NA ABDI SULEIMAN, PEMBA)
No comments:
Post a Comment