Habari za Punde

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo ashiriki katika uzinduzi wa wiki ya Vijana Chato

WAZIRI wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Tabia Maulid Mwita (mtandio wa manjano)akiungana na wasanii mbali mbali katika kuimba wimbo maalumu katika uzinduzi wa wiki ya vijana kitaifa huko Chato Mkoani Geita.(PICHA NA WHVUM

KATIBU Mkuu Wizara ya Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Fatma Hamad Rajab, akifanya usafi katika nyumba ya hayati Magufuli, ikiwa ni wiki ya vijana kitaifa huko Chato mkoani Geita.(PICHA NA WHVUM)

WAZIRI wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Tabia Maulid Mwita, akisaini Kitabu katika banda la wakimbizaji wa mwenge wa uhuru kitaifa, kwenye maonyesho yanayoendelea huko Chato Mkoani Geita.(PICHA NA WHVUM)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.