Habari za Punde

Majaliwa awasili Zanzibar, azindua matokeo ya utafiti wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi 2020/21

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Abeid Amani Karume na baadae atazindua  matokeo ya utafiti  wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi 2020/21, kwenye ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip,  Novemba 24, 2021. Kulia ni Mkewe Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla wakati alipowasili kwenye Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar kuzindua  Matokeo ya utafiti  wa watu wenye uwezo wa kufanya kazi 2020/21, Novemba 24, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.