Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi azindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kuzindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia ambacho kimejumuisha Vikosi vya Ulinzi na Usalama.[Picha na Ikulu] 19/11/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)  akipokea salamu ya Heshma ya Gwaride la Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kabla ya kuzindua rasmi  hafla iliyofanyika leo.[Picha na Ikulu] 19/11/2021.

Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia wakitoa salamu ya Heshma ya Gwaride rasmi mbele ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipofika Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kukizindua kikosi hicho leo.[Picha na Ikulu] 19/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)  akikagua  Gwaride la Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia mara alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar kabla ya kukizindua rasmi kikosi hicho  hafla iliyofanyika leo.[Picha na Ikulu] 19/11/2021.
 Wageni na Viongozi mbali mbali wakifuatilia kwa makini hafla ya Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia hafla iliyofanyika leo  Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu]19/11/2021.
 Wadau wa Utalii na waalikwa wengine na Maaskari wa Utalii wakifuatilia kwa makini hafla ya Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia hafla iliyofanyika leo  Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu]19/11/2021.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi   akitoa hutuba yake wakati alipozindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia katika hafla iliyofanyika leo  Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 19/11/2021.
Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama pamoja na Viongozi wengine wakifuatilia kwa makini hafla ya Uzinduzi wa Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia hafla iliyofanyika leo  Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar iliyofanywa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani).[Picha na Ikulu]19/11/2021.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi   akitoa hutuba yake wakati alipozindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia katika hafla iliyofanyika leo  Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 19/11/2021.


/Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiagana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara maalum za SMZ Mhe.Masoud Ali Mohamed ,Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mhe.Lela Mohammed Mussa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi  Mkuu Na Katibu Mkuu Kiongozi Injinia  Zena Mohammed Ahmed Said (katikati) na Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa, baada ya kukizindua rasmi Kikosi cha Polisi Utalii na Diplomasia katika hafla iliyofanyika leo  Ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar .[Picha na Ikulu]19/11/2021.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.