Habari za Punde

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Amehudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Kilichofanyika Chamwino Dodoma leo.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Wajumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (kushoto kwake) Mjumba wa Halmashuri Kuu ya CCM Taifa amae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango na (kulia kwake) Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla wakiwa katika ukumbi wa Kikao wakati akiwasili Mwenyekiti wa CCM Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan.(hayupo pichani)
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Cha Kawaida cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi CCM Kilichokutana leo tarehe 17 Desemba, 2021 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma.

MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambae pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisoma moja ya mada zitakazowasilishwa katika Kikao cha kawaida kabla ya kuaza kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, kilichofanyika katika ukumbi wa Chamwino Dodoma leo 17-12-2021, na (kulia) Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe Kassim Majaliwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein, akisoma mada za Kikao kabla ya kuaza kilichofanyika katika ukumbi wa Chamwino Dodoma na (kulia kwake) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Dkt.Philip Isdor Mpango, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Kassim Majaliwa

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.